Closed | Call for participants | Generation Food Hackathon

[ENGLISH VERSION BELOW]

Mwito wa kushiriki kwenye | Kongamano la vijana wabunifu

Hatufanyi tena mambo ya kawaida, wewe je?

Tunawatafuta wajasiriamali wa chakula wa kizazi kijacho, ambao wamehamasika kutengeneza suluhisho jipya na bunifu katika kuendeleza na kuweka usawa kwenye mfumo wa chakula hapa Arusha. Je, wewe ni kijana mwenye ndoto za kuunda ekolojia ya vifungashio, kuendelea kutumia kwa mara nyingine taka za chakula, kusambaza chakula bora na salama kwenye migahawa, au kuwa mpishi maarufu? Zifanye ndoto zako kuwa halisi kwa kushiriki kwenye 'kongamano la vijana wabunifu', ambapo uwezakano wa kuchangia kwenye mfumo wa chakula endelevu ni bayana.

Inafanyaje kazi hasa?

Siku 2 za kongamano la vijana wabunifu, utapata suluhisho la biashara yako katika kuendeleza na kukuza usawa wa mfumo wa chakula jijini Arusha. Pamoja na washiriki wapatao 200, utagawanywa kwenye makundi ili kufanyia kazi mawazo mapya ya biashara zikiwa na kauli mbiu 3-4 ambazo vyanzo vyake vimetokana na jamii husika. Kwa mfano;

  • Uzalishaji endelevu na kilimo mijini(e.g. kanuni bora za kilimo, matumizi sahihi ya dawa za kuua wadudu,vifaa vya umwagiliaji kwa kutumia jua, na teknolojia bunifu)
  • Mgawanyo wa chakula endelevu,usindikaji na kupunguza uaribifu kabla ya mavuno (e.g.majokofu ya kwenye masoko, Mboji)
  • Matumizi endelevu (e.g.utayarishaji wa chakula,maduka ya chakula salama, migahawa safi na bora, kulisha mashule)

Wawezeshaji watawaelekeza washiriki kupitia vikundi vyao wakati wa mjadala. Wataalam watashirikishwa katika kutoa historia na mbin mbadala juu ya changamoto na fursa kwenye mada husika. Mwisho wa Hackathon, washiriki watahamasishwa kushiriki kwenye kambi la Generation Food kwa msaada zaidi.

Nani anaweza kushiriki?

Unaweza kushiriki kwenye kongamano la vijana wabunifu endapo;

  • Wewe ni binti au kijana mwenye umri kati ya 18-35,
  • Unatoka katika vijiji au maeneo yanayozunguka jiji la Arusha,
  • Unashahuku ya kuanzisha biashara binafsi hasa kwenye sekta ya chakula, na
  • Utakuwepo kwa siku m bili mfululizo kuanzia tarehe 27 hadi 28 agosti.

Hili ni pamoja na - japo si kwa ulazima- wanafunzi wa mwaka jana, vijana waliohitimu vyuo, wajasiriamali wa nyakati zote, vijana wasio na ajira, wataalam katika fani ya mapishi na wakulima wa ndani na maeneo yanayozunguka jiji la Arusha.

Je,umevutiwa? Jiandikishe sasa! Kushiriki ni bure kabisa. Malazi na chakula itatolewa kwa na namna inavyotakikana.*

Kwa namna gani ujisajili?

Ingia kwenye kiunganishi hiki cha mtandao kisha jaza fomu hiyo, mpaka kufikia tarehe 19 Agosti 2020, 4pm. Endapo unakutana na changamoto katika kujiandikisha tafadhali wasiliana na Hilda Okoth kupitia hilda.okoth [at] rikolto.org au kwa simu nambari 0710 73 05 77.

Taarifa zaidi kuhusu Generation Food zinapatikana katika tovuti ya eastafrica.rikolto.org/arusha-generation-food.

  • Tafadhali zingatia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya COVID-19 katika kulinda usalama wako wakati wa Hackathon. Kwa sababu za COVID-19 baadhi ya mipango ya Hackathon zitafanyika kwa njia ya mtandao. Tutawawezesha washiriki ambao hawana intanet ili kuhakikisha ushiriki wao kikamilifu. Kwa upande wa mtandao, hatutatoa malazi na chakula.

Call for Participants | Generation Food Hackathon

We’re done with business as usual! You too?

We’re looking for the next generation of food entrepreneurs, who are motivated to create new and innovative solutions to ensure the sustainability and fairness of Arusha’s food system. Are you a young person that dreams of designing ecological packaging materials, re-using food waste, delivering safe and healthy food to restaurants, or maybe becoming a famous chef? Put your dreams into action by participating in the Generation Food Hackathon, the possibilities to contribute to a sustainable food system are limitless.

How does it work exactly?

During the 2-day Generation Food Hackathon, you will unlock business solutions for a sustainable and fair food system in Arusha. Together with around 200 participants, you will be divided into groups to work on new business ideas on 3-4 themes that will be crowd-sourced by the community. Example of topics include:

  • Sustainable production and urban farming (e.g. Good Agricultural Practices, pesticide use, solar-powered drip, innovative technologies),
  • Sustainable food distribution, processing and post-harvest loss minimisation (e.g. cold hubs in markets, composting)
  • Sustainable consumption (e.g. catering services, safe food kiosks, healthy restaurants, school feeding)

Facilitators will guide the groups during the discussions. Experts will be involved to provide technical background and insights into the challenges and opportunities of specific topics. At the end of the Hackathon, participants are encouraged to participate in the Generation Food Bootcamp and Incubator.

Who can join?

You can join the Generation Food Hackathon if

  • you are a young woman or man between 18 and 35,
  • you come from a rural or urban area in and around Arusha City,
  • you have a strong interest in developing your own business in the food sector, and
  • you are available two days from** 27 to 28 August**.

This includes - but is not limited to – last year students, young graduates, existing entrepreneurs, unemployed youth, food professionals and farmers in and around Arusha City.

Are you excited? Register now! Participation is free of charge. Accommodation and food will be provided as required.*

How to register?

Fill in our online registration form via this link by 19 August 2020, 4pm. If you experience trouble registering online then please contact Hilda Okoth via hilda.okoth [at] rikolto.org or 0710 73 05 77.

More information about Generation Food can be found here.

  • Please note we will take the necessary covid-19 measures to ensure you safety during the hackathon. Due to covid-19, part of this hackathon might be organised online. We will support the participants who do not have a stable internet available to ensure their full participation. For the online parts, we will not provide accommodation and food.