OPPORTUNITIES FOR YOUTH AND WOMEN IN MBEYA, RUVUMA, AND SONGWE

OPPORTUNITIES FOR YOUTH AND WOMEN IN MBEYA, RUVUMA, AND SONGWE

23/04/2024
in News

APPLICATION FOR PROJECT ON YOUTH AND WOMEN (NEW GENERATION FOOD ACCELERATOR (AID-I)

MBEYA, SONGWE AND RUVUMA REGION

USAILI MRADI WA VIJANA NA WANAWAKE (NEW GENERATION FOOD ACCELERATOR (AID-I)

MKOA WA MBEYA, SONGWE NA RUVUMA

This project is managed and coordinated by RIKOLTO East Africa in collaboration with other development partners, under the support of AGRA. The AID-I program is implemented within year 2024, designed for unlocking and motivating innovative business potentials on the horticultural value chain and nutritional food systems as well as on rice, maize, beans and soy beans, from Mbeya, Songwe and Ruvuma. This project has being specifically designed for identifying and promoting women and youth-led agribusiness enterprises and other innovative business solutions, wishing to develop and scale their business ventures within a line of horticulture value chain and nutritional food systems, as well as on rice, maize, beans, soy beans in stabilization of market systems and food qualities within various market systems to the final consumers.

AID-I inatekelezwa kwa ushirikiano kati ya shirika la Rikolto Africa Mashariki na watekelezaje wenza (BRITEN and ROTAI, chini ya ufadhili wa AGRA, mikoa ya Mbeya, Ruvuma and Songwe mwaka huu wa 2024. Mradi ulianzishwa kutoa fulsa na kuhamasisha wajasiriamali bunifu wa kilimo Biashara kuanzisha na kuendeleza Biashara zinazoweza kuleta suluhisho la mfumo wa chakula kwenye minyororo ya thamani ya Mbogamboga na matunda, Mpunga, Maharagwe, Soya na Mahindi. Lengo mahususi la mradi ni kuwatambua na kuwezesha wajasiriamali vijana ( wakike na wakiume)wanaotaka kukuza na kuendeleza Biashara zao ilikuimarisha mifumo ya masoko na ubora wa chakula mpaka kwa mlaji wa mwisho.

Participation Selection Criteria

 • Youth to participate in the program will be recruited and selected based on the following criteria.
 • Must be youth within the age range of 15-29 years
 • The innovative business location must be within Mbeya, Songwe or Ruvuma
 • Able to communicate (speak, read and write) in Swahili or English.
 • Must be willing to commit time for the entire period of the AID-II program
 • Must have a prototype or a minimum viable product (MVP) with market traction that address gaps in the nutrition and horticulture value chain as well as on rice, maize, beans, soy beans, and demonstrates women and youth-employment creation or engage more marginalized youth in the value chain and which have potential of scaling.
 • Should possess the drive and determination to grow and sustain business enterprise on the nutrition and/or horticultural value chain.

Vigezo vya kuweza kushiriki

 • Ili vijana waweze kuchaguliwa kushiriki katika mradi huu wanapaswa kuwa na vigezo vifuatavyo:
 • Uwe kijana mwenye umri kati ya miaka 15-29 Uwe ni mkazi wa mkoa wa Mbeya, Songwe au Ruvuma
 • Uwe unaweza kusoma, kuzungumza na kuandika lugha ya kiswahili au kiingereza.
 • Uwe tayari kutenga muda na kushiriki kikamilifu kwenye mradi wa AID-II
 • Uwe na sampuli kifani au biashara bunifu iliyokamilika na inayolenga kutatua changamoto kwenye mnyororo wa thamani wa mbogamboga na matunda au lishe, pamoja na mazao ya mpunga, mahindi, maharage, soya, na kuweza kuthibitisha upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana na wanawake ama kuwashirikisha vijana wengine waishio kwenye mazingira magumu na kuonesha uwezekano wa kukua kwa biashara husika.
 • Uwe na shauku na maono ya kukuza na kuendeleza biashara kwenye mnyororo wa thamani wa mbogamboga na matunda au lishe.

Instructions for Participation

 1. First, download the form below.
 2. Please answer all questions.
 3. Circle or place a check mark in questions without space to answer.
 4. Respond concisely and clearly.
 5. Then, submit the application form to the email address eastafrica.procurement [at] rikolto.org.

Maelekezo ya kushiriki

 1. Kwanza Pakua fomu hapo chini na
 2. Tafadhali jibu maswali yote
 3. Zungushia duara au weka tiki katika maswali yasiyo na nafasi ya kujibu
 4. Jibu kwa ufupi na kwa kueleweka
 5. Kisha tuma fomu ya maombi kwenye barua pepe eastafrica.procurement [at] rikolto.org

Uthibitisho na ukubali

Muda wa mwisho kupokea maombi ni Tarehe 5 May 2024 Saa 5:59 Usiku.

Taarifa kuhusu washiriki waliochaguliwa, zitatolewa baada ya kipindi cha wiki 1 mara baada ya kufungwa kwa Tarehe ya kupokea maombi ya usaili.